BOT MBEYA SACCOS ni chama cha Akiba na Mikopo kinachoendesha shghuli zako kwa mujibu wa sheria za ushirika (Sheria ya Ushirika 2013) na seria za huduma ndogo za fedha za mwaka 2018. Chama kimesajili kwa namba ya usajili ……………………………
Chama cha BOT Mbeya SACCOS, kilianzishwa mwaka ……………na makao makuu yake ni Offisi za Benki Kuu Mbeya Forest. Chama kina wanachama katika matwi yote ya Benki Kuu (Arusha, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Zanziba, na Mtwara) na Makao Makuu Dodoma pamoja na Makao Makuu ndogo – Dar es Salaam.
Uwezo wa Chama
Wanachama
Mwelekeo wa Chama